New VIDEO : TINGINYAGA OFFICIAL VIDEO BY NKUNDA STAR - Welcome to Topleveltz Entertainment and Music Website

Ads Top

New VIDEO : TINGINYAGA OFFICIAL VIDEO BY NKUNDA STAR


New VIDEO : TINGINYAGA OFFICIAL VIDEO BY NKUNDA STAR

Nkunda star ni mwanamuziki wa Tanzania ,Raper ambae anatumia
Lugha ya (SUKUMA)katika rap yake ,pia ni mwanamuziki alieingia kwenye muziki wa Rap ya Bongo na kuwa kivutio cha wasanii wengine haswa wasanii wachanga na kutamani kufanya kama yeye
Nkunda star alipata nafasi ya kupanda majukwaa makubwa nchini Tanzania Kama (KOMAA CONCERT2017), (TIGO FIESTA2017 &2018) Hivyo alipata uzoefu wa kutosha katika majukwaa haya pendwa ,Loading...

No comments:

hide

Powered by Blogger.